Waite (walinganie watu) katika njia ya Mola wako kwa hekima .."
Waite (walinganie watu) katika njia ya Mola wako kwa hekima na mawaidha mazuri, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako mlezi yeye anamjua zaidi aliyepotea katika njia yake, na yeye ndiye anayewajua zaidi walioongoka
49
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo