Kimbilieni kuomba msamaha kwa Mola wenu.."
Kimbilieni kuomba msamaha kwa Mola wenu na Pepo (ambayo) upana wake ni kama upana wa mbingu na ardhi, imeandaliwa kwa wale walio muamini Allah na Mtume Wake. Hiyo ni fadhila ya Allah, Humpa Amtakaye. Na Allah ni Mwenye fadhila kubwa
464
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo