Na litikise kwako hilo shina la mtende,"
Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu
Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Allah ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu
30
Related Videos
See other videos from same category