Allah ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi, na akateremsha."
Allah ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi, na akateremsha maji kutoka mawinguni. Na kwa hayo akatoa matunda kuwa ni riziki yenu. Na akayatiisha majahazi yanayopita baharini kwa amri yake, na akaitiisha mito ikutumikieni (kwa manufaa yenu mbalimbali)
48
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo