Je, kwani hatukuifanya ardhi (kama) tandiko?."
Je, kwani hatukuifanya ardhi (kama) tandiko?
Na milima kuwa (kama) vigingi?
Na Tukakuumbeni kwa jozi; (wanaume na wanawake)?
Na tukafanya kulala kwenu ni mapumziko?
Na tukaufanya usiku (ni kama) nguo (ya kukufunikeni)?
Na tukaufanya mchana ni wa kuchumia [kutafuta] maisha?
13
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo