Na katika Ishara zake ni kuwa amekuumbieni wake zenu kutokana.."
Na katika Ishara zake ni kuwa amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao. Naye amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Hakika katika haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanao fikiri
58
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo