Hakuna kulazimisha (watu kuingia) katika dini. Hakika, ""
Hakuna kulazimisha (watu kuingia) katika dini. Hakika, uongofu umekwishajitenga na upotovu. Basi anayemkataa Twaghuti na kumuamini Allah, bila shaka yeye ameshika kishikio madhubuti kisichovunjika. Na Allah ni Mwenye kusikia sana, Mjuzi sana
195
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo