Akasema: Ondokeni humu nyote, hali ya kuwa ni maadui nyinyi kwa nyinyi. "

Akasema: Ondokeni humu nyote, hali ya kuwa ni maadui nyinyi kwa nyinyi. "

Akasema: Ondokeni humu nyote, hali ya kuwa ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Na ukikufikieni uongofu kutoka kwangu basi atakaye ufuata uongofu wangu, hatapotea wala hatataabika
Na atakae jiepusha na mawaidha yangu, basi kwa yakini atapata maisha yenye dhiki, na Siku ya Kiyama tutamfufua hali ya kuwa ni kipofu
Aseme: Ewe Mola wangu Mlezi! Mbona umenifufua kipofu, nami nilikuwa nikiona?

638
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Video zenye uhusiano

Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo

icon

Shiriki