Watu wamepambiwa kupenda kutamani wanawake.."
Watu wamepambiwa kupenda kutamani wanawake na watoto wanaume na marundo mengi ya dhahabu na fedha na farasi wanaofunzwa na wanyama wafugwao na mashamba. Hizo ni starehe za maisha ya duniani, na mafikio mazuri yapo kwa Allah tu
571
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo