Kila kitu kinasajiliwa. Kidogo kabla ya kikubwa. Fahamu kuwa si maisha tu yanayo pita bure bure, bali ni kisa kinacho andikwa kwa umakini sana.
Je, ni kitu gani unataka kiandikwe kuhusu wewe?!MAZINGATIO: Kuihesabu na kuichunguza nafsi ni nuru ya Qur’an
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi