​Na miongoni mwa watu kuna wanaofanya washirika badala ya ."

​Na miongoni mwa watu kuna wanaofanya washirika badala ya ."

​Na miongoni mwa watu kuna wanaofanya washirika badala ya ."

11 9

Na miongoni mwa watu kuna wanaofanya washirika badala ya (kumuamini) Allah (pekee); wanawapenda kama wampendavyo Allah. Na walioamini wanampenda zaidi Allah. Na laiti waliodhulumu wangejua watakapoiona adhabu kwamba, nguvu zote ni za Allah, na kwamba, Allah ni mkali wa kuadhibu

Shiriki