Unapo kabiliana na ubaya kwa kufanya wema, huwa unavunja kuta za chuki na kujenga daraja la mahusiano bora.
Qur’an inatufundisha kuwa, nyoyo hufunguliwa kwa upole siyo kwa nguvu.
MAZINGATIO:
Fanya mema ili upate nguvu ya kheri
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi