Utafika muda wa kila mtu kuona uhalisia wa mambo kwa uwazi, lakini hapatokuwa na muda wa kutenda mema tena!
Yakini ya kweli ni kuamini mwenyewe kwa hiyari kabla ya kufika muda wa kulazimika kuamini hali ya kuwa imani hiyo haitosaidia chochote.
MAZINGATIO:
Ni muhimu kuwa na yakini ya siku ya kiama.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi