Katika visa vya Mitume​ kuna mazingatio makubwa."

Katika visa vya Mitume​  kuna mazingatio makubwa."

Katika visa vya Mitume​ kuna mazingatio makubwa."

17 10

Katika visa vya Mitume

kuna mazingatio makubwa kwetu sisi wote.

Ndani yake kuna ukumbusho wa kuzingatia na mafundisho kwa yaliyo tokea kwa wale walio tangulia.

Qur’an siyo kitabu cha mazungumzo tu, bali ni kitabu cha ukweli, muongozo na rehma.

MAZINGATIO:

Ni muhimu kuwa na mazingatio katika visa  vya wale walio tutangulia

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki