Usiseme: “Qur’an ni ngumu”.
Kwani Allah amekwisha kuwepesishia. Si kwa ajili ya kusomwa tu, bali hata kuuongoza moyo wako kwenye mafanikio ya kweli.
Anza sasa! Utaona maajabu ya safari ya mafanikio yako.
MAZINGATIO:
Mafanikio yanapatikana kwa kufuata njia na muongozo wa Qur’an.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi