Kujisahau kunasababisha​ nyoyo kuwa ngumu."

Kujisahau kunasababisha​ nyoyo kuwa ngumu."

Kujisahau kunasababisha​ nyoyo kuwa ngumu."

23 14

Kujisahau kunasababisha nyoyo kuwa ngumu.

Na kumkumbuka Allah kunazilainisha nyoyo na kuzihuisha upya.

Usisubiri kufunikwa na dunia, bali rudi hivi sasa kwa Allah na umuabudu Yeye tu!

MAZINGATIO:

Ni wajibu kurejea kwa Allah kwa kumkumbuka.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki