Kusimama sawasawa katika dini ya Allah huleta baraka na rehema.
Ama kupuuza utajo wa Allah husababisha kupata adhabu.Basi, ni wajibu wetu kupupia jambo la kusimama sawasawa katika dini.
MAZINGATIO:Njia ya kweli na ya mafanikio ni kumkumbuka Allah kwa wingi.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi