Wanaume wanafiki na wanawake wanafiki, wao ndio wanao amrisha maovu, na wanayakataza mema, na huzuia mikono yao kutoa mali, na humsahau Allah, kwa hali hiyo Allah naye huwalipa kwa kutowajali na kuwatelekeza wakizama katika upotofu wao na kuwaingiza katika adhabu kali siku ya kiama.
MAZINGATIO:Tahadhari ya unafiki na wanafiki, na kuhakikisha tunashikamana na Uislamu.
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi