Hakika, ambao wanamkufuru Allah na Mitume wake na wanataka kutenganisha kati ya Allah na Mitume wake, na wanasema: Tunaamini baadhi na tunakufuru baadhi, na wanataka kushika baina ya hayo njia (ya kati ambayo ni dini mseto inayochanganya baina ya Imani na ukafiri) Hao ndio makafiri kweli, na tumewaandalia makafiri adhabu yenye kukudhalilisha
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi