Wakati mawimbi yanapo zidi, na hali ya hewa ikawa mbaya baharini,"

Wakati mawimbi yanapo zidi, na hali ya hewa ikawa mbaya baharini,"

Wakati mawimbi yanapo zidi, na hali ya hewa ikawa mbaya baharini,"

21 7

Wakati mawimbi yanapo zidi, na hali ya hewa ikawa mbaya baharini, huwa tunauona udhaifu wetu mbele ya uwezo wa Allah, na huwa tunamuelekea Yeye kwa kumuomba kwa ikhlaswi. Lakini balaa kubwa ni pale tunapo okolewa na kuwa salama, kuacha kuonesha shukurani zetu kwa Allah, jambo hili ni baya sana na lisilo faa kufanywa na Waumini wa kweli.

Tunajifunza kuwa:

Kutakasa ibada ni njia ya wokovu wa matatizo.

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki