Na wakawafanya Malaika, ambao ni waja wa Mwingi

Na wakawafanya Malaika, ambao ni waja wa Mwingi

Na wakawafanya Malaika, ambao ni waja wa Mwingi

157 10

Na wakawafanya Malaika, ambao ni waja wa Mwingi wa Rehema, kuwa ni wanawake! Kwani wameshuhudia kuumbwa kwao? Ushahidi wao utaandikwa na wao watahojiwa!  Nao husema: Angeli penda Mwingi wa Rehema tusingeliwaabudu. Hawana ujuzi wowote wa hayo! Hawana ila kusema uongo tu! 

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki