Na watasema wale walio-shirikisha (Miungu mingine na Allah)

Na watasema wale walio-shirikisha (Miungu mingine na Allah)

Na watasema wale walio-shirikisha (Miungu mingine na Allah)

102 15

Na watasema wale walio-shirikisha (Miungu mingine na Allah): Laiti kama Allah angali-penda, tusingeabudu chochote badala yake, sisi na Baba zetu, na tusingeharamisha chochote (ambacho Allah hakukiharamisha). (Hoja) kama hizi walizitoa wale waliokuwa kabla yao. Basi si kazi ya Mitume isipokuwa kufikisha (ujumbe) waziwazi

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki