Na siku ambayo mwenye kudhulumu atajiuma mikono yake

Na siku ambayo mwenye kudhulumu atajiuma mikono yake

Na siku ambayo mwenye kudhulumu atajiuma mikono yake

167 8

Na siku ambayo mwenye kudhulumu atajiuma mikono yake, na huku anasema: Laiti ningeli shika njia pamoja na Mtume!  Ee ole wangu! Laiti nisingeli mfanya fulani kuwa rafiki!  Amenipoteza, nikaacha Ukumbusho, baada ya kwisha nijia, na kweli Shet’ani ni khaini kwa mwanaadamu

Kadi zenye uhusiano

Tazama kadi

icon

Shiriki