Kuwafanya makafiri kuwa marafiki si katika mahusiano na kuamiliana tu, bali ni kule kuwapenda na kuwanusuru kwa kuwatanguliza dhidi ya dini ya Allah Ndio maana yamekuja makemeo ya wazi wazi kutahadharisha kutofanya hivyo ili Muumini asije potoka katika njia ya haki
Kadi zenye uhusiano
Tazama kadi