​​Kwa hakika kabisa, katika simulizi zao (hao Mitume) kuna mazingatio kwa wenye ."

​​Kwa hakika kabisa, katika simulizi zao (hao Mitume) kuna mazingatio kwa wenye ."

Kwa hakika kabisa, katika simulizi zao (hao Mitume) kuna mazingatio kwa wenye akili. Haikuwa (hii Qur’an ni) maneno yanayozushwa lakini ni usadikisho (uthibitisho) wa (maandiko matakatifu) yaliyokuwepo kabla yake (Taurati na Injili) na ni ufafanuzi wa kila kitu na ni muongozo na rehema kwa watu wanaoamini

21 8

Shiriki