Na wamesema: Nyoyo zetu zimo katika vifuniko kwa hayo unayotuitia."
Na wamesema: Nyoyo zetu zimo katika vifuniko kwa hayo unayotuitia (unayotuhubiria) na masikio yetu yana uziwi na baina yetu na wewe lipo pazia. Basi wewe fanya (yako) na sisi tunafanya (yetu)
1
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo