Na mwenye kuuelekeza uso wake kwa Allah,naye akawa anafanya wema, ""
Na mwenye kuuelekeza uso wake kwa Allah, naye akawa anafanya wema, basi huyo hakika amekwisha kamata fundo lilio madhubuti. Na mwisho wa mambo yote ni kwa Allah
Na anaye kufuru, isikuhuzunishe kufuru yake. Kwetu ndio marudio yao, na hapo tutawaambia waliyo-yatenda. Hakika Allah ni Mjuzi wa yaliyomo vifuani
34
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo