​Alif Lam Raa . Hiki ni Kitabu tulichokiteremsha kwako ili kwacho."

​Alif Lam Raa . Hiki ni Kitabu tulichokiteremsha kwako ili kwacho."

Alif Lam Raa . Hiki ni Kitabu tulichokiteremsha kwako ili kwacho uwatowe watu kwenye giza uwapeleke kwenye muangaza, kwa idhini ya Mola wao Mlezi, uwafikishe kwenye Njia ya Mwenye nguvu, Msifiwa

102
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Shiriki