Na lau ingekuwepo katika karine za kabla yenu masalia ya watu wa kheri."
Na lau ingekuwepo katika karine za kabla yenu masalia ya watu wa kheri wanakataza maovu ardhini, (lakini hawakuwepo miongoni mwa watu wa kheri) isipokuwa wachache tu. Miongoni mwa (walioamini) tuliowaokoa kutoka kwenye adhabu. Na wale waliodhulumu wakafuata starehe zao walizoneemeshwa, na wakawa waovu
917
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo