Na (kumbuka) Malaika walipo-sema: Ewe Mariamu, hakika ."
Na (kumbuka) Malaika walipo-sema: Ewe Mariamu, hakika Allah amekuteua na amekutakasa, na amekuteua kuliko wanawake wa walimwengu wote
Ewe Mariamu, mnyenyekee Mola wako na sujudu na rukuu pamoja na wenye kurukuu
253
Related Videos
See other videos from same category