Na amri Yetu haiwi ila ni moja tu, kama upepeso wa jicho."
Na amri Yetu haiwi ila ni moja tu, kama upepeso wa jicho
Na kwa yakini Tumewaangamiza wenzenu, je, basi yuko yeyote mwenye kuwaidhika?
Na yote waliyoyafanya yamehi-fadhiwa kwenye vitabu
Na kila kidogo na kikubwa kime-andikwa
Hakika Waliomcha Allah watakua kwenye mabustani Na Mito
83
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo