Na siku tutakayomfufua shahidi (Mtume) katika kila umma kutoka ."

Na siku tutakayomfufua shahidi (Mtume) katika kila umma kutoka ."

Na siku tutakayomfufua shahidi (Mtume) katika kila umma kutoka miongoni mwao atakayethibitisha (kuwa aliwafikishia ujumbe wa Allah wakampinga), na tutakuleta wewe kuwa shahidi wa (watu) hawa. Na tumekuteremshia kitabu kikibainisha kila kitu, na rehema na bishara kwa Waislamu

149
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Shiriki