Hayo ndiyo makazi ya Akhera, tumewafanyia wale wasio taka kujitukuza."
Hayo ndiyo makazi ya Akhera, tumewafanyia wale wasio taka kujitukuza duniani wala ufisadi. Na mwisho mwema ni wa wacha Mungu
Atakaye tenda wema atapata malipo bora kuliko huo wema alioutenda. Na atakaye tenda uovu, hawalipwi watendao uovu ila waliyokuwa wakiyatenda
893
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo