​Yeye Ndiye Aliyeumba mbingu na ardhi katika siku sita,"

​Yeye Ndiye Aliyeumba mbingu na ardhi katika siku sita,"

Yeye Ndiye Aliyeumba mbingu na ardhi katika siku sita, kisha Akawa juu (Istawaa) ya ‘Arsh, Anajua yale yanayoingia ardhini, na yale yatokayo humo, na yale yanayoteremka kutoka mbinguni, na yale yanayopanda humo, Naye Yu Pamoja nanyi popote mlipo. Na Allah ni Mwenye kuona yote myatendayo

4
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Video zenye uhusiano

Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo

icon

Shiriki