​Allah (pekee ndiye) aliyeziinua mbingu bila ya nguzo mnazoziona."

​Allah (pekee ndiye) aliyeziinua mbingu bila ya nguzo mnazoziona."

Allah (pekee ndiye) aliyeziinua mbingu bila ya nguzo mnazoziona. Kisha amelingana sawa juu ya Arshi.[1] Na amelitiisha jua na mwezi[2] (kwa manufaa na maslahi ya viumbe). Kila kimoja (kati ya jua na mwezi) kinakwenda (kwenye mhimili wake) kwa muda maalumu. (Yeye Allah ndiye) Anayeendesha mambo (yote), anafafanua Aya ili mpate kuwa na yakini ya kukutana na Mola wenu Mlezi

20
Video Translations
Kupakua
  • Hd Version ( Google Drive )
Viambatanisho

Video zenye uhusiano

Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo

icon

Shiriki