Allah ndiye aliye ifanya bahari ikutumikieni,."
Allah ndiye aliye ifanya bahari ikutumikieni, ili humo zipite marikebu kwa amri yake, na ili mtafute fadhila zake, na mpate kushukuru
Na amefanya vikutumikieni vilivyomo mbinguni na vilivyomo katika ardhi, vyote vimetoka kwake. Hakika katika hayo zimo Ishara kwa watu wanao fikiri
57
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo