Na Mariamu binti wa ‘Imrani ambaye amehifadhi tupu yake."
Na Mariamu binti wa ‘Imrani ambaye amehifadhi tupu yake (aliye linda ubikira wake), Tukampulizia humo (katika nguo yake) kupitia kwa Roho Wetu (Jibrili), na akasadikisha Maneno ya Mola wake, na Vitabu Vyake, na akawa miongoni mwa watiifu na wanyenyekevu
11
Video zenye uhusiano
Tazama video nyingine kuhusu mada hiyo hiyo