Uhai wako haupo bure bure tu, kila hatua unayo pitia ina malengo maalumu.
Sisi wote tupo katika safari ya kumuelekea Muumbaji, na tunatakiwa kufanya matendo mema kwa kutambua kuwa kurejea kwake ndiyo lengo letu kuu la kuliendea
Maana ya Uwepo katika Nuru ya Qurani
Allah ametuumba kwa ajili ya kumuabudu Yeye tu. Naye ni Mkwasi, mwenye kujitosheleza na chochote tulicho nacho.
Lengo la uhai wetu si riziki au chakula, bali ni kujikurubisha kwa Muumbaji, kumuabudu Yeye ipasavyo.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Je! Mlidhani ya kwamba tulikuumbeni bure na ya kwamba
nyinyi kwetu hamtarudishwa?
Ametukuka Allah, Mfalme wa Haki, hapana mungu ila Yeye,
Mola Mlezi wa A'rshi Tukufu
[ALMUUMINUUN 115:116]
Uhai wako haupo bure bure tu,
kila hatua unayo pitia ina
malengo maalumu.
Sisi wote tupo katika safari ya
kumuelekea Muumbaji, na
tunatakiwa kufanya matendo
mema kwa kutambua kuwa
kurejea kwake ndiyo lengo letu
kuu la kuliendea
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Je! Mlidhani ya kwamba tulikuumbeni bure na ya kwamba
nyinyi kwetu hamtarudishwa?
Ametukuka Allah, Mfalme wa Haki, hapana mungu ila Yeye,
Mola Mlezi wa A'rshi Tukufu
[ALMUUMINUUN 115:116]
Kila hatua katika maisha yako
ujue ina malengo. Na kurejea
kwa Allah ndiyo mwisho wa
ufukwe.
Tutambue kuwa hatukuumbwa
bure bure.
MAZINGATIO:
Tufanye matendo mema kwa
kutambua kuwa mwisho wetu ni
kurejea kwa Allah.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Na sikuwaumba majini na wanadamu ila kwa ajili ya
kuniabudu
Na sihitaji toka kwao rizki na wala sihitaji kunilisha
[ADH-DHAARIYAAT 56:57]
Allah ametuumba kwa ajili ya
kumuabudu Yeye tu. Naye ni
Mkwasi, mwenye kujitosheleza
na chochote tulicho nacho.
Lengo la uhai wetu si riziki au
chakula, bali ni kujikurubisha
kwa Muumbaji, kumuabudu Yeye
ipasavyo.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Na sikuwaumba majini na wanadamu ila kwa ajili ya
kuniabudu
Na sihitaji toka kwao rizki na wala sihitaji kunilisha
[ADH-DHAARIYAAT 56:57]
Lengo kuu la uhai wetu ni
kumtakasia Allah katika ibada,na si katika kukusanya riziki au
chakula.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehem
Je, mwanadamu anadhani kuwa ataachwa bure tu?
Kwani yeye hakuwa tone la manii lililotonwa?
Kisha akawa pande la damu, (Allaah) Akamuumba na
Akamsawazisha?
[ALQIYAAMA 36:38]
Mwanaadam hajaumbwa bure
bure tu bila ya malengo.
Safari yetu inaanzia kwenye tone
dogo, kisha kuwa umbile lilio
kamilika lenye kuungana.
Inawezekanaje iwe maisha yetu
baada ya hatua hizo zote yawe
tu bure bure bila ya maana?
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehem
Je, mwanadamu anadhani kuwa ataachwa bure tu?
Kwani yeye hakuwa tone la manii lililotonwa?
Kisha akawa pande la damu, (Allaah) Akamuumba na
Akamsawazisha?
[ALQIYAAMA 36:38]
Jitazame ewe Mwanaadam
umetokana kwa kupitia hatua
ngumu sana ambazo ulikuwa
huonekani, mpaka kufikia hatua
ya kuwa unasikia na kuona na
kuwa mwenye kufikiria mambo
mbali mbali.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Na ufalme wa Mbingu na Ardhi ni wa Allah, na Allah ni
muweza wa kila kitu
Hakika katika kuumba Mbingu na Ardhi na mabadiliko ya
usiku na mchana ni dalili tosha kwa wenye akili
[AL-IMRAN 189: 190]
Tazama kwa umakini katika
mbingu na ardhi na mpishano wa
usiku na mchana.
Mambo hayo si ya kuzuka tu,
bali ni uumbaji wa Muumbaji
anaye miliki ulimwengu na
kuuendesha ipasavyo.
Basi, mwenye kutafakari vizuri
katika maumbile yake hufikia
kuujua ukweli.
MAZINGATIO:
Kutafakari katika mambo yanayo
onesha dalili za uumbaji wa
Allah.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Na ufalme wa Mbingu na Ardhi ni wa Allah, na Allah ni
muweza wa kila kitu
Hakika katika kuumba Mbingu na Ardhi na mabadiliko ya
usiku na mchana ni dalili tosha kwa wenye akili
[AL-IMRAN 189: 190]
Ulimwengu wote unaenda kwa
nidhamu ya ajabu ambayo haina
mfano wake.
Na mwenye kutafakari kwa kina
atajua kwamba katika hayo upo
uwezo mkubwa unao
muwezesha kiumbe kuujua
ukweli kabla hata ya kusema chochote.
MAZINGATIO:
Nuru ya uoni sahihi hupatikana
kwa kufanya tafakuri katika
viumbe vya Allah.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehem
Tutawaonyesha Ishara zetu katika upeo wa mbali na katika
nafsi zao wenyewe mpaka iwabainikie kwamba haya ni
kweli. Je! Haikutoshi kwamba Mola wako Mlezi kuwa Yeye
ni Shahidi wa kila kitu?
[FUSSWILAT 53]
Kila unapo tafakari kuhusu
ulimwengu, na kila unapo
angalia ndani ya nafsi yako
mwenyewe, utaujua ukweli
kuhusu uumbaji wa Allah bila
hata ya kwenda mbali zaidi.
Kwani, utakuta kuna sauti iliyo
kimya inayo kuongoza kwenye
Yakini.
Basi ufungue moyo wako
kuisikiliza sauti hiyo.
MAZINGATIO:
Nuru ya kweli ipo katika
kutafakari viumbe vya Allah.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehem
Tutawaonyesha Ishara zetu katika upeo wa mbali na katika
nafsi zao wenyewe mpaka iwabainikie kwamba haya ni
kweli. Je! Haikutoshi kwamba Mola wako Mlezi kuwa Yeye
ni Shahidi wa kila kitu?
[FUSSWILAT 53]
Kila kinacho onekana kwenye
ulimwengu, na kila kilichopo
mwilini mwako ni alama tosha
inayo kwambia: haupo peke
yako.
Allah anakuonesha mahitajio
yako ili ujue njia sahihi ya
kuifuata
MAZINGATIO:
Kutafakari katika viumbe vya
Allah ni muongozo wa moyo.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Ambaye ameumba mbingu saba zilizo tabaka tabaka.
Huoni tofauti yoyote katika uumbaji wa Rahmani
(Allah Mwingi wa rehema). Basi rudisha macho
(uangalie uumbaji wa Allah); Je, unaona kasoro yoyote?
[AL-MULK 3]
Inakutosha wewe kutazama
kwenye mbingu na kuona
uumbaji makini usio kuwa na
mfano wake.
Uumbaji makini ambao
utakujulisha kuwa: mkono wa
Allah, Mwingi wa rehema haupitiwi na mapungufu yoyote.
MAZINGATIO:
Mbingu ni miongoni mwa dalili za
uumbaji makini wa Allah
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Ambaye ameumba mbingu saba zilizo tabaka tabaka.
Huoni tofauti yoyote katika uumbaji wa Rahmani
(Allah Mwingi wa rehema). Basi rudisha macho
(uangalie uumbaji wa Allah); Je, unaona kasoro yoyote?
[AL-MULK 3]
Unapo rejesha macho yako mara
kwa mara kwenye mbingu huto
kuta kuna dosari wala ubabaifu.
Ulimwengu wote unakupa habari
kuwa Muumbaji wake ni
Mkamilifu.
MAZINGATIO:
Kutafakari kwa umakini katika
umadhubuti wa viumbe vya Allah
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehem
Na wale wanao jiepusha na ibada potovu, na wakarejea kwa
Allah, watapata bishara njema. Basi wabashirie waja wangu
Ambao husikiliza maneno, wakafuata lilio bora. Hao ndio alio
waongoa Allah, na hao ndio wenye akili
[AZZUMAR 17:18]
Mwanaadam anapo usafisha
moyo wake kutokana na kila
upotofu, na kurudi kwa Allah
kidhati ya ukweli, hufunguliwa
njia, na kumiminiwa bishara
njema ya mafanikio, na kufikia
kwenye vilele vya haki.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehem
Na wale wanao jiepusha na ibada potovu, na wakarejea kwa
Allah, watapata bishara njema. Basi wabashirie waja wangu
Ambao husikiliza maneno, wakafuata lilio bora. Hao ndio alio
waongoa Allah, na hao ndio wenye akili
[AZZUMAR 17:18]
Uongofu siyo kwa kila anayesikia sana, bali ni kwa yule mwenye
kupambanua kheri, na
kushikamana na yaliyo bora.
Hao ndio walio tunukiwa na Allah
akili safi, na maono sahihi yasiyo
wapotosha katika njia sahihi.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Hivi hawaizingatii hii Kurani? Na lau kama
ingetoka kwa asiyekuwa Allah bila shaka
wangekuta ndani yake kasoro nyingi
[ANNISAI 82]
Neno moja tu ndani ya Qur’an
linatosha kukufungulia mlango
wa nuru.
Na yeyote mwenye kuizingatia
kwa ukweli ataona matukufu
ambayo hakuna kiumbe anaye
weza kuyapata popote.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Hivi hawaizingatii hii Kurani? Na lau kama
ingetoka kwa asiyekuwa Allah bila shaka
wangekuta ndani yake kasoro nyingi
[ANNISAI 82]
Haki haihitaji kulazimisha, bali
inatosha kuizingatia tu ili kupata
chanzo chake kutoka kwa
Muumbaji.
Kitabu ambacho hakina ikhitilafu
ndani yake, hakiwezi kuwa ni
maigizo, isipokuwa kimetoka kwa
Allah tu.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Wale walioamini na zikatua nyoyo zao kwa
kumkumbuka Allah. Hakika kwa kumkumbuka
Allah ndio nyoyo hutulia
[AR-RA'D 28]
Kuna nyakati ambazo hakuna
kitu chochote kinachoweza
kutuliza wasi wasi wa moyo.
Isipokuwa wakati mja anapo
mkumbuka Mola wake Mlezi,
utulivu wake hurudi na kuwa
kama vile alikuwa anasubiria
wito maalumu juu ya hilo jambo.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
Wale walioamini na zikatua nyoyo zao kwa
kumkumbuka Allah. Hakika kwa kumkumbuka
Allah ndio nyoyo hutulia
[AR-RA'D 28]
Utulivu haupatikani kwa
mabadiliko ya hali, bali
unapatikana kwa moyo
kufungamana na Mola wake
Mlezi.
Wakati unapo mkumbuka Allah,
kila kilichokuwa kinakupa wasi
wasi huondoka ndani ya moyo
wako.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehem
Na humruzuku kwa njia asiyo tazamia. Na anaye
mtegemea Allah Yeye humtosha. Hakika Allah anatimiza
amri yake. Hakika Allah Amejaalia kwa kila kitu na
makadirio yake
[ATTWALAAQ 3]
Riziki huja kwa njia asiyo itarajia
yoyote.
Utakapo kuwa unamtegemea
Allah kwa yakini kabisa, basi
Yeye atakutosha na kukupa zaidi
ya yale unayo yatarajia.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehem
Na humruzuku kwa njia asiyo tazamia. Na anaye
mtegemea Allah Yeye humtosha. Hakika Allah anatimiza
amri yake. Hakika Allah Amejaalia kwa kila kitu na
makadirio yake
[ATTWALAAQ 3]
Yeyote mwenye kujisalimisha
mambo yake kwa Allah, ataona
milango mingi ya mafanikio
itakayo mfungukia bila
kutegemea.
Basi, tambua kuwa kila kitu
mbele yake kipo kwenye mizani
thabiti na iliyo kadiriwa isiyo
kwenda kinyume.
MAZINGATIO:
Ni wajibu kuhangaika katika
kutafuta riziki na kuamini qadar ya Allah.