Watu wanapo kudharau au kuipinga haki, kumbuka kuwa Allah anaijua hiyo huzuni yako, usihuzunike kusimama imara katika nyakati nzito, tambua kuwa Allah anajua yaliyomo ndani ya moyo wako.
Scroll
Free Book
Anajua yaliyo ndani yako
PDF Free Book
Allah anajua vizuri yaliyomo moyoni mwako na unayo yapitia, hivyo simama imara, usikate tamaa!
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
<< Hakika, tunajua kuwa kwa yakini kabisa,
yanakuhuzunisha mno yale wanayosema. Kwa
hakika hawakupingi wewe, lakini madhalimu
wanazipinga Aya za Allah»
[AL-AN'AAM:33]
Watu wanapo kudharau au kuipinga haki, kumbuka kuwa Allah anaijua hiyo huzuni yako, usihuzunike kusimama imara katika nyakati nzito, tambua kuwa Allah anajua yaliyomo ndani ya moyo wako.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
<< Hakika, tunajua kuwa kwa yakini kabisa,
yanakuhuzunisha mno yale wanayosema. Kwa
hakika hawakupingi wewe, lakini madhalimu
wanazipinga Aya za Allah»
[AL-AN'AAM:33]
Watu wanapo acha kukufahamu katika mambo ya haki, basi usihuzunke.
Allah anajua vizuri yaliyomo moyoni mwako na unayo yapitia, hivyo simama imara, usikate tamaa!
MAZINGATIO:
Nguvu ya imani ipo katika ukweli pamoja na Allah..
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
« Basi kwa hakika pamoja na uzito
upo wepesi, Hakika pamoja na uzito
upo wepesi »
[ASH-SHARHI:5-6]
Masiku yanayokupitia yanapokuwa magumu kwako kutokana na changamoto zake, basi kumbuka kuwa Allah yupo na atakuondoshea hayo yote, kwani kila jambo zito unalolipitia, fahamu kuwa hufuatiwa na wepesi.
MAZINGATIO:
Faraja huja baada ya dhiki, ni muhimu sana kuishi na matumaini mazuri.
The text from the image is:
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
<< Na kwa yakini Tumemuumba Mtu
na Tunajua yale inayowaza nafsi
yake, na Sisi Tuko karibu naye kuliko
mshipa wa shingoni mwake>>>
[QAAF:16]
Allah yupo karibu nawe kuliko nafsi yako, anajua yote yaliyomo moyoni mwako na katika fikra zako, usiogope, kwani Yeye yupo pamoja nawe kila wakati.
MAZINGATIO:
Jikurubishe kwa Allah, kwani Allah yu pamoja nawe.
The text from the image is:
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
<< Na kwa yakini Tumemuumba Mtu
na Tunajua yale inayowaza nafsi
yake, na Sisi Tuko karibu naye kuliko
mshipa wa shingoni mwake>>>
[QAAF:16]
Kila unapo kutana na changamoto yoyote ya dunia, kumbuka kuwa Allah yupo karibu nawe kuliko hata mshipa wa shingo.
Fahamu kuwa katika nyakati zako zote za hali kuwa nzito, Yeye anajua na anajibu dua zako, basi muelekee Yeye tu.
MAZINGATIO:
Rehema za Allah zipo karibu, ni wajibu kujikurubisha kwake Yeye tu.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
«Basi (Yule mpekuzi) alianza kwenye mizigo yao kabla
ya mzigo wa ndugu yake. Kisha alilitoa (bakuli
lililoibwa) kutoka katika mzigo wa ndugu yake. Hivi
ndivyo tulivyomfunza Yusuf mbinu (ya kubaki na
nduguye). Asingeweza kumchukua ndugu yake kwa
sharia ya mfalme isipokuwa kwa matakwa ya Allah.
Tunawainua daraja nyingi tuwatakao na juu ya kila
anayejua yupo anayejua zaidi»
YUSUF:76
Wakati mambo yanapo kuwa magumu, kumbuka kuwa Allah anakadiria kheri katika kila kitu.
Fahamu kuwa kila kitu kinachotokea huwa kwa makadirio yake na kwa sababu yake tu.
MAZINGATIO:
Ni wajibu kuamini hukumu ya Allah na makadirio yake.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
«Basi (Yule mpekuzi) alianza kwenye mizigo yao kabla
ya mzigo wa ndugu yake. Kisha alilitoa (bakuli
lililoibwa) kutoka katika mzigo wa ndugu yake. Hivi
ndivyo tulivyomfunza Yusuf mbinu (ya kubaki na
nduguye). Asingeweza kumchukua ndugu yake kwa
sharia ya mfalme isipokuwa kwa matakwa ya Allah.
Tunawainua daraja nyingi tuwatakao na juu ya kila
anayejua yupo anayejua zaidi»
YUSUF:76
Katika Maisha yako, na katika hali ngumu zozote ulizo nazo, tambua kuwa Allah atakuinua daraja kwa hali aitakayo, na kuyaendesha mambo atakavyo.
Basi kuwa mwenye matumaini katika hekima za Allah.
MAZINGATIO:
Qadar na utashi vinawajibisha kuwa na matumaini na Allah.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
«Hakika wanao ziamini Aya zetu ni
hao tu ambao wakikumbushwa hizo,
basi wao huanguka kusujudu, na
humsabihi Mola wao Mlezi kwa
kumhimidi, nao hawajivuni»
[ASSAJDAH:15]
Unapohisi kuwa wewe ni mtelekezwa, na hujui njia ilipo, basi fahamu kuwa uongofu utakujia, si kwa ajili ya kukubeba tu kwa upuuzi, bali kukuongoza kwenye nuru ya mafanikio.
Kwa jina la Allah Mwingi wa rehema,
Mwenye kurehemu
«Hakika wanao ziamini Aya zetu ni
hao tu ambao wakikumbushwa hizo,
basi wao huanguka kusujudu, na
humsabihi Mola wao Mlezi kwa
kumhimidi, nao hawajivuni»
[ASSAJDAH:15]
Usiogope sana kutokana na kupotea, kwani Allah anakutosha, na Yeye ni tulizo la moyo wako, na mwenye kuiongoza roho yako kwenye uongofu.
MAZINGATIO:
Ni wajibu kufuata miongozo ya kuepukana na upotofu na kuupata uongofu.
Vyovyote itakavyo kuwa umeichafua nafsi yako kwa madhambi, kumbuka kuwa mlango wa rehema za Allah upo wazi daima. Basi usikate tamaa, kwani Allah ni Mwenye kusamehe na Mwenye huruma.