Uislamu Dini ya Uaminifu na Uwajibikaji

Ukhalifa katika ardhi ni kubeba majukumu na si kutukuzwa tu. Mwanaadam ameumbwa ili aiboreshe dunia, si kufanya uharibifu. Na ameletwa duniani ili ausimamishe uadilifu na si kufanya mauaji kwa kumwaga damu za wengine. Basi, kuwa Khalifa wa kusimamia haki, kama alivyo kutaka Allah, na si vinginevyo!

Uislamu Dini ya Uaminifu na Uwajibikaji

Zingatia jinsi jambo la amana lilivyo kuwa ni kubwa, ambapo mbingu, arhi na milima viliogopa kuibeba na kuichukua.
Lakini Mwanaadam akakubali kuichukua, na bila kujali akawa ni mwenye kujidhulumu mwenyewe na mjinga wa kutozingatia matokeo mabaya ya kutoichunga amana aliyo kubali kuibeba.

Aya