Ahadi njema iliyopo katika maisha yako ni kuona kuwa Allah Mtukufu amesema:
“Niombeni” katika hali ambayo hakuna kizuwizi wala mlango ulio fungwa kati yako na kati yake, bali anakupa ahadi njema ya kukupa mafanikio.
Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na (hawataki) kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike Allah aliyekufanyieni usiku ili mpate kutulia humo, na mchana wa kuonea. Hakika Allah bila ya shaka ni Mwenye fadhila juu ya watu, lakini watu wengi hawashukuru
GHAAFIR 60: 61

Tutambuekuwasisihatushindwikwasababuniwanyonge. Bali nikwasababuhatusimamiipasavyokatikadua(maombi).
Tambuakuwakilaunapoinuamikonoyakokuombadua, basihaupompweke, baliupona Allahdaima.
Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri).
Hakika, sisi tumerejea kwako. (Allah) Akasema: Adhabu yangu
ninamlenga nimtakaye, na rehema yangu imekienea kila kitu. Basi
nitaiandika (hiyo rehema yangu) kwa ambao wanamcha Allah na
wanaotoa Zaka na (kwa) wale ambao Aya zetu wanaziamini
AL-AARAAF 156
Rehemaza Allah hazitafutwikwawakamilifu, balizinatafutwakwawenyekutubu.
Na kwaajilihiyo, ndiomaana Allah amesema:
“Rehemayanguimeeneakilakitu”.
Na tuandikie mazuri katika hii dunia na akhera (pia tuandikie mazuri).
Hakika, sisi tumerejea kwako. (Allah) Akasema: Adhabu yangu
ninamlenga nimtakaye, na rehema yangu imekienea kila kitu. Basi
nitaiandika (hiyo rehema yangu) kwa ambao wanamcha Allah na
wanaotoa Zaka na (kwa) wale ambao Aya zetu wanaziamini
AL-AARAAF 156
Lau watuwangejuaupanawarehemaya Allah, basiwangeliasanakwakuwanamatumaininasikuwanahofu.
Hakika, Mola wenu Mlezi ni Allah ambaye ameumba mbingu
na ardhi katika siku sita, kisha akalingana sawa juu ya Arshi,
anaendesha mambo yote, hakuna muombezi yeyote
(atakayekubaliwa uombezi wake) isipokuwa baada ya idhini
yake tu. Huyo, kwenu nyie, ndiye Allah, Mola wenu mlezi,
basi muabuduni. Hivi hamuonyeki?
YUNUS 3
Rahakubwakatikamaishahayayadunianinikujuakuwa Allah pekeyakendieanayekiendeshakilakitu.
Tambuakuwa:siyokilakinachotokeakipodhidiyako, balibaadhiyakenimuongozowakokatikakheri.
Hakika, Mola wenu Mlezi ni Allah ambaye ameumba mbingu
na ardhi katika siku sita, kisha akalingana sawa juu ya Arshi,
anaendesha mambo yote, hakuna muombezi yeyote
(atakayekubaliwa uombezi wake) isipokuwa baada ya idhini
yake tu. Huyo, kwenu nyie, ndiye Allah, Mola wenu mlezi,
basi muabuduni. Hivi hamuonyeki?
YUNUS 3
Na nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye mzulia uwongo Allah au
anaye kanusha Haki inapo mjia? Je! Si katika Jahannamu ndio
yatakuwa makaazi ya makafiri? Na wanaofanya juhudi kwa ajili yetu,
Sisi tutawaongoa kwenye njia zetu. Na hakika Allah yu pamoja na watu
wema
AL-ANKABUUT 68 : 69
Kitukibayazaidi, nikumzushiauongo Allah, au kuikataahakibaadayakuijua.
Hiisidhambituinayoendelea, balininjiayenyegizambaya, namwisho wake simzuriunafahamikawaziwazi.
Na nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye mzulia uwongo Allah au
anaye kanusha Haki inapo mjia? Je! Si katika Jahannamu ndio
yatakuwa makaazi ya makafiri? Na wanaofanya juhudi kwa ajili yetu,
Sisi tutawaongoa kwenye njia zetu. Na hakika Allah yu pamoja na watu
wema
AL-ANKABUUT 68 : 69
Lakini!
Tafakari, ujuekuwahatuayoyotenjemaunayoichukuakumuelekea Allah utakutainakabiliwanauongofumkubwa.
Basi, pambanananafsiyako, na Allah atakufungulianjiazamafanikiousizozitarajia.
Hakika, Allah amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwamba
watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Allah; wanaua na
wanauawa. Ni ahadi ya haki juu ya hilo katika Taurati na Injili na
Qur'ani. Na ni nani atimizae ahadi zaidi kuliko Allah? Basi furahieni
biashara yenu mliyofanya naye. Na huko ndiko hasa kufaulu kukubwa
ATTAUBA 111
Tafakari!
Hakika Allah amenunuakwakonafsiyakonamaliyako, nakukulipaPepo.
Hiinibahatikubwaambayohuwezikupatahasarakamwe!Ikiwautakuwamkwelikatikamatendoyako.
Hakika, Allah amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwamba
watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Allah; wanaua na
wanauawa. Ni ahadi ya haki juu ya hilo katika Taurati na Injili na
Qur'ani. Na ni nani atimizae ahadi zaidi kuliko Allah? Basi furahieni
biashara yenu mliyofanya naye. Na huko ndiko hasa kufaulu kukubwa
ATTAUBA 111
Siyokujitoamuhanga!
Bali nibiasharanjemana Allah.
Kilatabu, kilaunachojitolea, ujuekuwakimehifadhiwambeleya Allah asiyevunjaahadiyake.
MAZINGATIO:
Na ukimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi na Pepo (ambayo) upana
wake ni mbingu na ardhi, iliyoandaliwa kwa ajili ya wacha Mungu
(Wacha Mungu) Ambao wanatoa (katika vile walivyopewa na Allah)
katika hali ya wasaa na katika hali ya dhiki, na wenye kuzuia hasira
(zao) na kusamehe watu (wanaowakosea). Na Allah anawapenda
wafanyao mazuri
AL-IMRAN 133 : 134
Pepohaipombali!
Bali inahitajimoyomkunjufu:
Unaotoakatikashida, nakuzuiahasira, nakusamehelichayakuwanauwezowakuadhibu.
Na ukimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi na Pepo (ambayo) upana
wake ni mbingu na ardhi, iliyoandaliwa kwa ajili ya wacha Mungu
(Wacha Mungu) Ambao wanatoa (katika vile walivyopewa na Allah)
katika hali ya wasaa na katika hali ya dhiki, na wenye kuzuia hasira
(zao) na kusamehe watu (wanaowakosea). Na Allah anawapenda
wafanyao mazuri
AL-IMRAN 133 : 134
Mtumwenyenguvu!
Si yule anayewashindawatu.
Bali ni yule anayeizuwianafsiyakewakatiwahasira, nakuchaguakusamehe!
Katikakipindihicho,,,, Allah huwaanakupenda.
Waumini wasiokuwa na udhuru wowote waliokaa (kwa kuacha
kwenda vitani) hawawi sawa na wale wanaopigana Jihadi katika
njia ya Allah kwa mali zao na nafsi zao. Allah amewafanya bora
zaidi kwa daraja wanaopigana Jihadi kwa mali zao na nafsi zao
kuliko wanaokaa. Na wote Allah amewaahidi mazuri (Pepo). Na
Allah amewafanya bora zaidi wanaopigana Jihadi kuliko
wanaokaa kwa ujira mkubwa kabisa
ANNISAI 95
Siyo watu wote kuwa wapo sawa!
Wapo wanao tosheka kwa kushuhudia, na wapo wanao fanya harakati mbali mbali na kujitoa muhanga.
Na tofauti yao ni daraja zao mbele ya Allah tu.
Waumini wasiokuwa na udhuru wowote waliokaa (kwa kuacha
kwenda vitani) hawawi sawa na wale wanaopigana Jihadi katika
njia ya Allah kwa mali zao na nafsi zao. Allah amewafanya bora
zaidi kwa daraja wanaopigana Jihadi kwa mali zao na nafsi zao
kuliko wanaokaa. Na wote Allah amewaahidi mazuri (Pepo). Na
Allah amewafanya bora zaidi wanaopigana Jihadi kuliko
wanaokaa kwa ujira mkubwa kabisa
ANNISAI 95
Hata usipo weza kufikia jambo, basi nia yako tu itakunyanyua!
Lakini ukiweza kuhangaika na kujitoa muhanga katika kheri, basi malipo yako yatakuwa makubwa zaidi ya unavyo fikiria.
Muhammad ni Mtume wa Allah. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya
makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na
kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Allah. Alama zao zipo katika nyuso
zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano
wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu,
ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha
wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Allah amewaahidi walio
amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa
AL-FAT-HI 29
Hii siyo sifa ya kawaida.
Bali ni mfano wa mtu.
Kuwa na nguvu dhidi ya batili,
Kuwa na huruma kwa watu, ni ishara ya kuwa mtu anao moyo ulio shikamana na Allah.
MAZINGATIO:
Kushikamana na mafunzo ya Uislamu ni nuru ya Qur’an
Muhammad ni Mtume wa Allah. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya
makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na
kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Allah. Alama zao zipo katika nyuso
zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano
wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu,
ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha
wakulima, ili kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Allah amewaahidi walio
amini na wakatenda mema katika wao msamaha na ujira mkubwa
AL-FAT-HI 29
Tazama vizuri!
Dini (ya Uislamu ni dini) inayomtengeneza mtu awe ni mwenye kukusanya nguvu na huruma na ibada.
Siyo kulazimisha!
Bali ni mizani ya uadilifu isiyo weza kutengenezwa na mtu yeyote!.
Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo
kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo
(Ni) amani usiku huo mpaka mapambazuko ya
alfajiri
AL-QADRI 4 : 5
Katika usiku mmoja tu,
Malaika wanashuka ardhini.
Amani inajaa duniani mpaka kuchomoza kwa jua.
Hivi ni vitu visivyo onekana, lakini ni vya kweli kuwa vipo!
Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo
kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo
(Ni) amani usiku huo mpaka mapambazuko ya
alfajiri
AL-QADRI 4 : 5
Siyo kila hakika huonwa kwa macho.
Kuna viumbe vilivyo kamilika vina fanya kazi kwa idhini ya Allah bila ya wewe kuvihisi.
Utulivu unao utafuta mara kwa mara, unaweza kuwa upo karibu yako bila ya wewe mwenyewe kutegemea.
Na amri Yetu haiwi ila ni moja tu, kama upepeso wa jicho
Na kwa yakini Tumewaangamiza wenzenu, je, basi yuko
yeyote mwenye kuwaidhika? Na yote waliyoyafanya
yamehi-fadhiwa kwenye vitabu Na kila kidogo na
kikubwa kime-andikwa Hakika Waliomcha Allah watakua
kwenye mabustani Na Mito
AL-QAMAR 50:54
Amri ya Allah…
Haihitaji muda mrefu,
Bali sekunde tu inatosha kubadilisha kila kitu.
Na amri Yetu haiwi ila ni moja tu, kama upepeso wa jicho
Na kwa yakini Tumewaangamiza wenzenu, je, basi yuko
yeyote mwenye kuwaidhika? Na yote waliyoyafanya
yamehi-fadhiwa kwenye vitabu Na kila kidogo na
kikubwa kime-andikwa Hakika Waliomcha Allah watakua
kwenye mabustani Na Mito
AL-QAMAR 50:54
Kila kitu kinasajiliwa.
Kidogo kabla ya kikubwa.
Fahamu kuwa si maisha tu yanayo pita bure bure, bali ni kisa kinacho andikwa kwa umakini sana.
Je, ni kitu gani unataka kiandikwe kuhusu wewe?!
Anapitisha mambo yote yaliyo baina ya mbingu na ardhi, kisha yanapanda kwake kwa siku ambayo kipimo chake ni miaka elfu kwa mnavyo hesabu nyinyi Huyu ndiye Mwenye kuyajua yasiyo onekana na yanayoonekana. Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu
ASSAJDAH 5:6

Kilakitukinasajiliwa.
Si matendoyakomakubwatu,
Hatamaneno,
Nia, nahatavituulivyovisahauwewe.
Maishayakosimasikutuyanayopitaburebure, balinikitabukinachoandikwa!
Je, nikituganiunachotakaanuaniyakisachakoiwe?