Anapitisha mambo yote yaliyo baina ya mbingu na ardhi, kisha yanapanda kwake kwa siku ambayo kipimo chake ni miaka elfu kwa mnavyo hesabu nyinyi Huyu ndiye Mwenye kuyajua yasiyo onekana na yanayoonekana. Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu
ASSAJDAH 5:6
Amriya Allah!
Haihitajimiakamingiyakupangilia.
Walamaelfuyasababu,
Bali niamrimojatu, inayowezakubadilishakilakitu.
Uhai,
Riziki,
Ugonjwa,
Wokovu,
Uongofu,
Vyotehivihuwakwanenomojatu ”kuanavikawa”!
MAZINGATIO:
- Kuaminiuwezowa Allah ninuruya Qur’an.