Imani Kwa Mambo Yasiyoonekana Katika UISLAMU

Tafakuri ya Nabii Ibrahim- Amani iwe juu yake- katika mbingu na ardhi ilikuwa ndiyo njia yake ya kupata yakini. Mwanaadam kila anapo tazama ukubwa wa viumbe wa Allah humzidishia yakini juu ya uwezo wa Allah na utukufu wake. Hivyo basi, ni wajibu wetu kuziboresha imani zetu kwa kutafakari viumbe wa Allah.

Imani Kwa Mambo Yasiyoonekana Katika UISLAMU

Utakapo waona watu ambao wanafanya upuuzi na shere kwenye Aya za Allah, basi waepuke haraka sana, mpaka waache upuuzi huo na upotevu. Ni wajibu kwako kuilinda imani yako, na wala usishirikiane na ambaye atakupoteza, bali fuata njia ya Uislamu, iliyo nyooka.

Aya